Friday, August 19, 2016

MSIMAMO LIGI KUU YA UFARANSA


Nafasi   Timu                   Michezo  Pts        
01          Lyon                      1         3 
02          Bordeaux               1         3
03          Caen                      1         3

MSIMAMO LIGI KUU YA UINGEREZA

Nafasi  Timu                              Mechi Pts
01.      Manchester united             1       3
02.      Liverpool                          1       3
03.      Chelsea                            1       3

Tuesday, August 9, 2016

REAL MADRID MABINGWA WA UEFA SUPER CUP


Beki wa Real Madrid Dani Carvajaal amefunga goli dakika ya 119 dhidi ya sekatika dakika za nyongeza na kifanya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mawili.

Sunday, August 7, 2016

POGBA NI MCHEZAJI WA UNITED TAYARI. MOURINHO

  Pogba
Baada ya kumalizika kwa mechi ya ngao ya jamii iliyomalizika kwa manchester united kuibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya leicester kocha wa timu hiyo ya Old Traford Jose Mourinho amethibitisha kua Paul Pogba ni mchezaji wa United baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Juventus.

MANCHESTER UNITED MABINGWA NGAO YA JAMII

   Manchester 2 leicester 1
Mabao kutoka kwa Lingard na Zlatan Ibrahimovich yametosha kuipa ushindi United katika mechi iliyopigwa pale Wembley.

Saturday, August 6, 2016

ZIDANE NA PEREZ KATIKA VITA YA USAJILI WA KIUNGO

  Zidane akizungumza na Perez
Kuna mgongano wa mawazo wa hali ya juu kati ya kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane na Rais wa timu hiyo Florentino Perez Juu ya kiungo yupi wa kusajili.

MOURINHO APELEKWE JELA MIAKA MITATU.

  Bastian Schweinsteiger
Member wa bodi ya FIFPro Dejan Stefanovic amesema kitendo cha Mourinho kumwambia Bastian Schweinsteiger kufanya mazoezi na wachezaji wa akiba si cha kiungwana na ingekua ni katika medali nyingine tofauti na soka kocha huyo angepigwa miaka mitau jela kwa kufananisha kitendo hicho na unyanyasaji wa hali ya juu.

MARCELO AMESHANGAZWA NA UWEZO WA ZIDANE

  Zinedine Zidane
Beki wa kushoto wa Brazil na Real Madrid Marcelo amesema uwezo wa Zidane kama kocha ni wa hali ya juu baada ya kocha huyo kufanya makubwa katika kipindi kidogo alichokaa clabuni hapo. Zidane anaekalia kiti cha moto baada ya kumrithi kocha aliyetimuliwa clubuni hapo rafa Benitez alishinda mechi 17 kati ya 20 zilizokua zimesalia kumaliza ligi na kuifanya Barcelona kua katika presha ya hali ya juu baada ya kuipumulia kwa karibu sana club hiyo ya Katalunya hadi mwisho wa ligi.

SIKUJA HAPA KUPOTEZA MUDA. ZLATAN IBRAHIMOVICH

  Zlatan Ibrahimovich
Mchezaji wa zamani wa club ya PSG aliyetua msimu huu katika mji wa Manchester kukipiga katika club ya Man U Zlatan Ibrahimovich amenena kua uamuzi wake wa kutua United kuungana na kocha wake wa zamani mreno Jose Mourinho sio jambo la kupoteza muda bali kushinda vikombe.

Monday, June 13, 2016

BRAZIL NJE COPA AMERICA

Mabingwa mara tano wa dunia Brazil jana wametupwa nje ya mashindano ya Copa America 2016 yanayofanyika pale USA.


Timu hiyo iliyo chini ya kocha Dunga imeendelea kuleta aibu kwa wabrazil kwa mara nyingine tena baada ya kuchapwa na timu dhaifu ya Peru isiyo na wachezaji wazoefu katika ngazi ya kimataifa tofauti na brazil ilikua na wachezaji kama Willian, Miranda, Coutinho na wengineo.